Bwana aja, arudi tena asema arudi upesi
Sibaki nyuma jitayarishe, mienedo yako ibadilishe
Wachana na tama za walimwengu , ya dunia hayatakufaidi
chochoteChunga basi vipaji Muumba alivyokupa weh
Chunga basi ukiwa umesimama usije kaanguka
Yote yakiisha kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri YESU
ni Bwana
Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayariWeka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari
Hivo basi tega sikio sikiza walio wake watateuliwa , wasio wake basi jehanamu
Wakati huu kuna neema, wakati huu kuna huruma njoo basi uokolewe upate maisha tele
Wakati ni sasa, wakati wakati ni sasa, wakati ni sasa kutoka kwenye nira za shetani
Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari
Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari
Heee heee akupate tayari akupate tayari
Akupate tayari akupate tayari