Tuesday, 12 November 2013

Nifinyange by Benachi



Ei eh ni heri nikufuate wewe, Ni he ni heri nikufaute wewe
Ni he ni heri nikufuate wewe we eh ni heri nikufuate wewe

 

Sema unachotaka nitende eeh aah, Unapotaka niende
Nitumie kama chombo chako ewe Maulana

Nataka tu kuwa nawewe mahali wewe ulipo
Maishani ,mwangu ninaomba uniangazie eh

Kwa pendo lako nikumbatie wouwo wowouuu



Nifinyange baba unijenge unvyotaka a
Uniite Baba eh, nitume yei ye yee

Nifinyange baba unijenge unvyotaka a
Uniite Baba eh, nitume yei ye yee

 

Machozi yanijaa moyoni niktizama ninatokwa na machozi
Jinsi tuna saliti amri  vitendo mienedo vyetu haviambatani
Na tulshakiri si waKristo tumejawa na mapigo ju ya vyetu vitendo
EEeh ni heri ni we nawe unitoe kwenye tope la dhambi
Eh nakutumainia wewe Jalali

 

Nifinyange baba unijenge unvyotaka a
Uniite Baba eh, nitume yei ye yee
Nifinyange baba unijenge unvyotaka a

Uniite Baba eh, nitume yei ye yee

 

Ei eh ni heri nikufuate wewe
Ei ye ye ni heri nikufuate wewe

Ni heri ni heri nikufuate wewe
Ei ye ye ni heri nikufuate wewe

Ei eh ni heri nikufuate wewe
Ei eh nibadilishe ee

 

Nifinyange baba unijenge unvyotaka a
Uniite Baba eh, nitume yei ye yee
Nifinyange baba unijenge unvyotaka a
Uniite Baba eh, nitume yei ye yee

 

No comments:

Post a Comment