Tuesday, 12 November 2013

Uwe Tayari by Alice Kamande

Bwana aja, arudi tena asema arudi  upesi
Sibaki nyuma jitayarishe, mienedo yako ibadilishe
Wachana na tama za walimwengu , ya dunia hayatakufaidi chochote

Chunga basi vipaji Muumba alivyokupa weh

Chunga basi ukiwa umesimama usije kaanguka
Yote yakiisha kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri YESU ni Bwana

Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari

Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari

Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari

Kama siku hizo za Nuhu walipuuza walipoambiwa  gharika na mvua zitafunika dunia nzima

Hivo basi tega sikio sikiza walio wake watateuliwa , wasio wake basi jehanamu

Wakati huu kuna neema, wakati huu kuna huruma njoo basi uokolewe upate maisha tele

Wakati ni sasa, wakati wakati ni sasa, wakati ni sasa kutoka kwenye nira za shetani

Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari
Weka nguo zako ziwe safi Yesu akija uwe tayari
Weka taa yako iwe nuru Yesu akija akupate tayari

Heee heee akupate tayari akupate tayari
Akupate tayari akupate tayari

No comments:

Post a Comment