Tuesday, 12 November 2013

Mateke by Size 8

Heeee mateke eeh

Yesu, amempiga shetani mateke, sababau ya mateke mimi niko huru
Yesu, amempiga shetani mateke, sbabau ya mateke mimi niko huru

Teke, teke, teke, sababu ya mateke mimi niko huru

Wengi walinitazama  wakidhani kuwa mimi niko sawa, pesa, magari, ma show kila mahali
Ukweli ni kuwa sikukuwa na amani, machozi kila mara huzuni kanijaa

Nilisunmbuka weh, nililia weh Nilisumbuka weh
Hapo ndipo Yesu

Yesu, amempiga shetani mateke, sababau ya mateke mimi niko huru
Yesu, amempiga shetani mateke, sababau ya mateke mimi niko huru

Teke, teke, teke, sababu ya mateke mimi niko huru

Huko nyumbani mashida zakwandama, stima maji hata bwana alienda
Marafiki nao wanakusema sema, hapa kule, ni wapi utaenda

Usilie weh usisumbuke weh , usilie weh sema nami sasa

Yesu, amempiga shetani mateke, sbabau ya mateke mim niko huru
Yesu, amempiga shetani mateke, sbabau ya mateke mim niko huru

Teke, teke, teke, sababu ya mateke mimi niko huru

No comments:

Post a Comment