Wednesday, 17 July 2013

Nakungoja lyrics , Mercy D Lai

Ninapokuamini unanipa amani, ulinipenda toka zamani, ukanipa penzi tamu kama asali
Ndiyo maana ntakutunza kama asali, wewe ndiwe nangoja ,
Nasubiri siku nitakuona, ninangoja sana,
Siku minitakuona

Twakungoja, wewe ndiwe waweza wajua hatungoji mwingine
Hatungoji mwingine(Echo)
Siku moja, wewe utatubeba wajua hatujui mwingine
Hatujui mwingine (Echo)

Nionyeshe njia Baba, Kama nimepotea rejesha BABA
Rejesha Baba(Echo)
Nifunze kukutegemea nisiaibike
Niongoze hadi nifike, Ili nisije nikapotea,
Unionyeshe hadi nione
Ili nione( Echo)


Twakungoja, wewe ndiwe waweza wajua hatungoji mwingine
Hatungoji mwingine(Echo)
Siku moja, wewe utatubeba wajua hatujui mwingiune
Hatujui mwingine (Echo)

Sitachoka kungoja, sitachoka kungoja, sitachoka kungoja
Hadi tuwe pamoja aa aa
Sitachoka kungoja, sitachoka kungoja, sita choka kungoja
Mi na weh moja kwa moja


Twakungoja, wewe ndiwe waweza wajua hatungiji mwingine
Hatungoji mwingine(Echo)
Siku moja, weweutatubeba wajua hatujui mwingiune
Hatujui mwingine (Echo)



No comments:

Post a Comment