Monday, 2 November 2015

Uvumilivu by Piston

Nilisikia sauti yako ikiniita
Mwana wangu njoo njoo ninakuita
Nikaachana na ya dunia nikaokoka
Sikujua kuna uwezekano ooh ooh

Kuna uwezekano wa binadmu kuchoka
Kuwachana na njia zako na kupotoka
Kuna uwezekano wa binadmu kuchoka
Kuwachana na njia zako na kupotoka
Ndyo maana naomba nipee

Nipe uvumilivu Nipe uvumilivu
Nipe uvumilivu Nipe uvumilivu

Nilidhani nikifikisha miaka ishirini na mbili
Nitakuwa na gari nzuri na nyumba nzuri na pengine bibi
Nilidhani nikifungua biashara Nairobi mjini
Nitapata wateja wengi nitapata faida nyingi
Nimebaki na alama ya mshangao akilini
Kila siku kwa maombi nauliza mbona mimi

Kuna uwezekano wa binadmu kuchoka
Kuwachana na njia zako na kupotoka
Kuna uwezekano wa binadmu kuchoka
Kuwachana na njia zako na kupotoka
Ndyo maana naomba nipee

Nipe uvumilivu Nipe uvumilivu
Nipe uvumilivu Nipe uvumilivu

Kuna uwezekano wa binadmu kuchoka
Kuwachana na njia zako na kupotoka
Kuna uwezekano wa binadmu kuchoka
Kama wajua nasema ukweli inua mikono na kusema


1 comment: