Iye iye iye ee eeh
Iye iye iye ee eeh
Upendo wake mwenyezi wanizunguka
Waniinua na kunipa mabawa
Yeye hunilaza penye maji matamu huniweka salama
Yaje mawimbi yanayonitingisha
Siogopi mie siogopi
Hata nipatane na maadui wanaonitngisha
Mimi sibabaiki
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
Walisema mimi sitoweza kuwa mimi nitaangamia walinshangaa
Wakarudia kuwa kuwa huyu hana lake maskini wa Mungu watashangaa
Hawakutegemea uwezo wake Mwenyezi
Na upendo wake kwa walio wanyonge
Hawakutegemea uwezo wake Mwenyezi
Na upendo wake kwa walio wanyonge
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
Nina imani nina imani
Nina imani ooh oh
Nina imani nina imani
Nina imani kuwa yote yoteee
Ah yawezekana
Hakuna lolote limshimadalo bwana
Yote yote yote
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
Nina imani kuwa yote yawezekana
Nikiwa na Mola yote yawezekanaNina mani kuwa yote yawezaana
Nikiwa na Mola yote yawezekana
No comments:
Post a Comment