Shalalalala eya oh shalalalala eya oh
Shalalala eya ooh ooh
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Watu wengi wameinuliwa fiti weh
Tena Mungu amewabariki fiti weh
Nina wonder mbona mimi siko fiti weh
Kwani nini nilifanya nina thinki weh
Nimetoa fungu zangu zote kumi weh
Nimetoa hizo zote bila chuki weh
Lakini bado na Baraka hazishuki weh
Nieleze mbona haunigusi weh
Nitazidi kuinua tu(weh) hata mambo yawe aje tu(weh)
Mungu nitakuinua tu(weh) sababu wewe ndiwe Mungu tu
Ni wewe, ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Mungu wangu weh wanitosha Ebenezer weh
Ei Mungu wangu weh wanitosha Ebenezer weh
Niliposota hata kuteseka magonjwa nayo yakaniokota
Rafiki zangu wakanitoroka Mungu wangu wewe hukuniacha ha(weh)
Nitazidi kuinua tu(weh) hata mambo yawe aje tu(weh)
Mungu nitakuinua tu(weh) sababu wewe ndiwe Mungu tu
Ni wewe, ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Hapa tumefika ni wewe sio kwa nguvu zetu ni wewe
Umekuwa mwaminifu wewe hakuna mwingine kama weh
Maisha ninayoishi mimi ah oh Muziki nayo fanya mimi aah oh
Favour nazopata zote aah oh
Hakuna, hakuna Mungu kama wewe
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Nimepigana vita visivyo Mwokozi nikitumia nguvu zangu
Nguvu sina kama hazitoki kwako
Nasema ni wewe ni wewe wewe weh weiiii
Ooh uwo uwoooo
Nasema ni wewe tunajua ni wewe(nasema ni wewe)
Ninaimba ni wewe kila siku ni wewe
Mzeiya ni wewe Mbuyu ni wewe
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe ni wewe Bwana
Mbuyu ni wewe Msingi ni wewe
Ni wewe ni wewe ni wewe hee
No comments:
Post a Comment