Tuesday, 21 October 2014

Nainua macho yangu by masha mapenzi (psalm 121:1

Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba

Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba


Asema njoo njoo
Asema njoo kwake pumziko
Asema njoo njongea
Asema njoo kwake pumziko
Fadhili zangu ni za milele
Huba langu halina kikomo
Mimi ndimi simba wa Yudah
Mimi ndimi ngome yako


Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba

Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba


Heri awe nawe awe nawe
Heri awe nawe
Mambo yote shwari
Heri awe nawe awe nawe 
Mambo yote shwari
Mikononi mwake
Viumbe vyote vyamtukuza
Mchana kutwa usiku kucha
Yeye ndiye muweza yote
Hakuna limshindalo Mola


Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba

Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba

Nainua macho yangu
Nitazame
Nitazame milimani
Msaada
Msaada wangu weh watoka wapi eh
Ni kwa Baba ni kwa Baba




No comments:

Post a Comment