Thursday, 14 August 2014

Ebenezer ya Denno

Heiyee Ebenezer
Pokea sifa, na utukufu na heshima

Elshadai Mungu unayeishi uonaye kila mahali
Upasuae maji kwenye jangwa 
Ninakuinua Baba

Wanyonge unawapa nguvu wanyeyekevu unawainua
Wewe kweli Mungu ni wa ajabu
Ninakutukuza Baba

Ebenezer nakupa sifa pekee Yako Unastahili
Ebenezer nakupa sifa pekee Yako Unastahili


Nilalapo hata niamkapoUmekuwa mlinzi wangu
Kila wakati umeniongoza
Ninakutukuza Baba
Marafiki waliponiacha eti kwa sababu mimi nina shida
Ulikuwa mfariji wangu Baba 
Ninakutukuza Baba


Ebenezer nakupa sifa pekee yako Uastahili
Ebenezer nakupa sifa Pekee  yako Unastahili


Nakupa sifa yeii
Milele milele 
UImeinuliwa juu Baba zaidi ya viumbe vyote

No comments:

Post a Comment