Wednesday, 2 July 2014

Tutembelee ya Jackie Kotira

Mungu Baba wa mbinguni, Hatuwezi bila wewe
Twaliita jina lako

Kama vile ulivyotenda Baba, Miujiza kwa wana Israeli
Bahari ya Shama yasikiza, amri yake Mungu Baba
Kama vile ulivyotenda Baba, Miujiza kwa wana Israeli
Maji yatoka kwenye mwamba, amri yako Mungu baba

Tutembelee
Mungu Baba tunaomba tembee
Tu tutembelee
Mungu Baba tunaomba tembee
Tu tutembelee
Kwani weh hubadiliki tembee
Tu tutembelee
Mwanga wangu wa neema tembee
Tu tu

Si ajabu ulisema kwamba, Wakifuata amri na njia zako
Magonjwa ya Misri yasiwafuate, amri yake Mungu baba
Si ajabu uliwapigania, vita vyao walipotoka Misri
Maadui wote wakashindwa kwa amri yako Mungu Baba


Tutembelee
Mungu Baba tunaomba tembee
Tu tutembelee
Mungu Baba tunaomba tembee
Tu tutembelee
Kwani weh hubadiliki tembee
Tu tutembelee
Mwanga wangu wa neema tembee
Tu tu

Weh ni Mungu usiyebadilika, jana leo hata milele
Umetenda mema hapo awali tuna hakika utatutembelea
Weh ni Mungu usiyebadilika, jana leo hata milele
Umetenda mema hapo awali tuna hakika utatute

Tembelee
Mungu Baba tunaomba tembee
Tu tutembelee
Mungu Baba tunaomba tembee
Tu tutembelee
Kwani weh hubadiliki tembee
Tu tutembelee
Mwanga wangu wa neema tembee
Tu tu

No comments:

Post a Comment