Nguvu ya msalaba imeniweka
Dhabihu hiyo Mungu mwenyewe alitoa
Sababu anijali nguvu ya msalaba
Nimeoshwa nimetakaswa damu ya Yesu imeniokoa
Gharama yangu Yesu amelipa kwa mapigo yake mimi nimepona
Nimeokolewa nimekombolewa kwa damu Yako mi ni salama
Sina wasiwasi wala huzuni ndani yako ni salama
Nguvu ya msalaba imeniweka
Dhabihu hiyo Mungu mwenyewe alitoa
Sababu anijali nguvu ya msalaba
Nina sababu yakukupenda nina sababu kuwa ndani Yako
Maisha yangu nayatoa kwako maisha yangu nayatoa kwako
Naishi nina haki natembea ni halali kama si Yesu singelikuwa hai
Asante Bwana kwa wokovu wasiwasi sina tena mimi nina hakika ya uhai
Nguvu ya msalaba imeniweka
Dhabihu hiyo Mungu mwenyewe alitoa
Sababu anijali nguvu ya msalaba
Ukiona mimi naimba imba ni nguvu msalaba
Ukiona nikitembea ni nguvu msalaba
Ukiona mimi siendi hepi tena ni nguvu msalaba
Ukiona nikisifu nakuimba ni nguvu msalaba
Nguvu ya msalaba
Nguvu ya msalaba imeniweka
Dhabihu hiyo Mungu mwenyewe alitoa
Sababu anijali nguvu ya msalaba
Yes kull
ReplyDeleteGrt stuff, keep up.
ReplyDeleteThanks for the lyrics.
ReplyDelete