Friday, 19 December 2014

Tosheka by MOG

Una nyumba nzuri una bibi mzuri mbona uko nje una randa?
Una toto zuri una bwana mzuri mbona uko nje una randa?
Kitu kizuri bwana wewe kamata (kamata)
Wacha tamaa ya fisi wewe ridhika(ridhika)
Kitu kizuri dada wewe kamata(kamata)
Wacha tamaa ya fisi wewe ridhika(weh)

Kila mtu anatamani pesa na mali yakutesa
Naomba Mungu minitosheke
Nisizidiwe na mawazo
Kila mtu anatamani pesa na mali yakutesa
Naomba Mungu minitosheke
Nisiuawe na mawazo

Hiyo kidogo hiyo kidogo tosheka nacho weh
Hiyo kidogo hiyo kidogo ridhika nayo weh
Hiyo kidogog hiyo kidogo tosheka nacho weh
Hiyo kidogo hiyo kidogo ridhika nayo weh

Una mali na mali ni ya nini?
Ninaipata nasiiridhiki
Nikikosa sina amani heeeh
Na afya ninayo nzuri na kazi nzuri maisha mazuri
Sijui mbona siridhiki

Oh Nikipata hiyooo ninataka ile
Nikipata ile ninataka ingine
Nikipata hiyooo ninataka ile
Nikipata ile ninataka ingine

Hiyo kidogo hiyo kidogo tosheka nacho weh
Hiyo kidogo hiyo kidogo ridhika nayo weh
Hiyo kidogo kiyo kidogo tosheka nacho weh
Hiyo kidogo hiyo kidogo ridhika nayo weh

Nataka kuridhika Baba niridhishe wewe
Nataka kuridhika Yesu nisaidie wewe

Toshe toshe toshe tosheka
Moyo wangu tosheka
Toshe toisheka
Mungu Baba niridhishe

Nikipata hiyooo ninataka ile
Nikipata ile ninataka ingine
Nikipata hiyoooo ninataka ile
Nikipata ile ninataka ingine


No comments:

Post a Comment