Nishikilie Baba kimbilio langu imara
Bila weh siwezi make bila wewe mi siwezi
Bila weh siwezi make bila wewe mimi siwezi
El Shadai Mungu wangu
Unayejua mwanzo wangu na mwisho wangu
Kila hali ninayopitia unaitambua
Giza na mwanga kwako wewe ni sawa
Nakuhitaji usinicahe nikapotea Baba
Ulimwengu umejaa milima na mabonde
Kaa nami siku zote
Moyo wangu naweka mbele zako
Niongoze hii safari kwani mimi niko tayari
Nishikilie Baba kimbilio langu imara
Bila weh siwezi make bila wewe mi siwezi
Bila weh siwezi make bila wewe mimi siwezi
Kama yala atamanivyo maji ya mto
Ndivyo nasfi yangu inavyokutafuta
Niuone wema wako kwa kila hali
Nimetambua wema wako kwangu hauna kipimo
Wewe ni yule yule jana leo na milele
Kaa nami unifundishe safari ndefu niongoze
Kaa nami siku zote
Moyo wangu naweka mbele zako
Niongoze hii safari kwani mimi niko tayari
Nishikilie Baba kimbilio langu imara
Bila weh siwezi make bila wewe mi siwezi
Bila weh siwezi make bila wewe mimi siwezi
Yesu wewe ndiwe chaguo la moyo wangu
Kando na wewe mwingine simwoni
Nishike mkono karibu zaidi
Nataka niwe na wewe milele
Nishike mkono karibu zaidi
Nataka niwe na wewe milele
Niongoze hii safari kwani mi niko tayari
Nishikilie Baba kimbilio langu imara
Bila weh siwezi make bila wewe mi siwezi
Bila weh siwezi make bila wewe mimi siwezi
Niongoze hii safari kwani mi niko tayari
Nishikilie baba kimbilio langu imara
Bila weh siwezi make Bila wewe mi siwezi
Bila wewe mimi siwezi