Thursday, 22 May 2014

liseme ya sara k

"Hamna jambo yeye asiloweza"

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza?
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza?
Liseme, liseme, litaje , litaje
Kwani ni jambo lip hilo yeye asiloliweza
kwani ni jambo lipi hilo  yeye asiloliweza

Yeye ni baba wa yatima, yeye ni mume wa wajane
Oh kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Ooohoo Liseme liseme, litaje litaje
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Sema wewe kwani ni jmabo ;lipi hio yeye asiloliweza

Yeye ni mponyaji, yeye ni mkarimu
Mlinzi mfariji wa ajabu
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Yeye ni mponyaji yeye ni mkarimu
Mlinzi mfariji wa ajabu
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

Liseme, liseme, litaje litaje
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Mama liseme
Liseme, liseme, litaje, litaje
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Baba liseme
Liseme, liseme, litaje, litaje
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza

1 comment: