Tuesday, 24 March 2015

liwe by guardian angel

Tick tock time inasonga yo
Nipe time nipate bonga yo
Nachoka ku marktime wenzangu wakisonga
Nakonda wakinona mmmh
Eh baba kama Batimayo niko hapa
Nashindwa kujitupa  kwenye mwamba ,
Macho yangu yapate kuona

Sometimes na wonder mbona maisha chungu ka kidonda
Mawazo mi na ponda kumbe kuna jambo mi sijatenda

Utavuna ulichokipanda
Ukipiga magoti utapata baraka baraka
Utavuna ulichokipanda
Gonga mlango moja itafunguka

Ukiomba samaki hupewi mawe
Anasema njoo tusemezane nawe
Omba utakalo na liwe
Liwe liwe liwe liwe liwe liwe
Omba utakalo na liwe

Ukitaka usamehewe , uinuliwe,
Ukitaka ubarikiwe
Omba utakalo na liwe

Utavuna ulichokipnada
Ukipiga magoti utapata baraka baraka
Utavuna ulichokipanda
Ukigonga mlango moja itafunguka funguka

Omba utakalo na liwe