Usikonde konde
Mama umelia kwa muda mrefu
Una wonder ni nini ulifanya unateseka
My brother you think that your life has no meaning
From the day she heart broke you
You think that your life has no meaning
Na Mungu Baba anakupenda
Hawezi kukuwacha
Katika milima na mabonde eh hawezi kukuwacha
Na Mungu Baba anakupenda
Hawezi kukuwacha
Katika milima na mabonde eh hawezi kukuwacha
Mshikilie unajua ni yeye pekeee
Mshikilie kwenye giza na kwenye mwangaza
Mshikilie unajua ni yeye pekeee
Mshikilie kwenye giza na kwenye mwangaza
Usikonde no Baba anakuangalia
Usikonde no Baba atakushikilia
Yuko bumper na wewe
Na hawezi kukuachilia
Nasema bumper na wewe na hawezi kukuachilia
Na sasa kazi unatafuta haipatikani
My brother familia yako imevunjika
Na bado marafiki wako wote wamekutoroka
Kila siku unawaza kila siku maishani unawaza
Ni nini ulifanya mbaya
Ndyo maisha yako haya yaenda mrama
Kila siku unawaza
Kila siku maishani unawaza
Ni ni nini ulifanya mbaya
Ndyo maisha yako haya yanaenda mrama
Usikonde no Baba anakuangalia
Usikonde no Baba atakushikilia
Yuko bumper na wewe
Na hawezi kukuachilia
Nasema bumper na wewe na hawezi kukuachilia
Tulia ukiwa naye mambo yote iko shwari
Mi nasema
Tulia ukiwa na yeye maishani hutaangamia
Eh eh
Tulia ukiwa naye mambo yote iko shwari
Mi nasema
Tulia ukiwa na yeye maishani hutaangamia
Halleluya ya halleluya halleluya
Usikonde no Baba anakuangalia
Usikonde no Baba atakushikilia
Yuko bumper na wewe
Na hawezi kukuachilia
Nasema bumper na wewe na hawezi kukuachilia