Shuka utendee YESU watu tunakungoja
Oooh na
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Jamii zilizotengana mayatima Baba
Viumbe vyote Yahweh wote tunakungoja
Jamii zilizotengana mayatima Baba
Nena neno moja wote tunakungoja
Heh na
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Shuka eeeh
Shuka Baba shuka eehShuka Baba shuka eeh
Shuka Baba shuka eeh
Shuka Baba
Wajane na wagonjwa matajiri wote
Dunia nzima Yaweh wote tunakungoja
Nena kwa sauti nena lako
Tutayari kusikiza wote tunakungoja
Ndio na
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Shuka eeeh
Shuka Baba shuka eeh
Shuka Baba shuka eeh
Shuka Baba shuka eeh
Shuka Baba
Kama siku siku ya Pentekote
Shuka na moto wako ututembelee
Oh kama siku siku ya Pentekote
Shuka na moto wako ututembelee
Baba
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Shuka eeeh
Shuka Baba shuka eehShuka Baba shuka eeh
Shuka Baba shuka eeh
Shuka Baba
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Hapa hatutoki Baba hadi tukuone
Wala hatutasinzia hadi Tukuone
Shuka eeeh
Shuka Baba shuka eehShuka Baba shuka eeh
Shuka Baba shuka eeh
Shuka Baba