Friday, 26 July 2013

Heartbreaker lyrics , sung by MOG

It's so sad, everybody fall in love with his lies,
And it hurts, the more you wanna fall in love with JESUS CHRIST.
he came to me with his wand shining like an angel,
he came to me with so many lies on a silver platter,
he also came to me with a lot of empty promises
he came to me and sorrow bit me like a fly
If you believe then the pain is over,
I'm more oh my GOD you won the war and satan is a loser


he's a heartbreaker, breaker, breaker,
he gonna he gonna put you in pain and drive you insane
he's a heartbreaker, breaker, breaker,
tacha chinguma chinguma chinguma

I'm more even though you broke my heart so badly,
I'm more im such a glad You are in my life
Since Imet Him, I don't know what He's done to meee
Since I met him my feeling in my body everything  is fine
he used to break mi hearty, right now not anymore,
See I believe in one thing today, tomorrow and forever more
Its only YOU YOU can take my pain away
Its only YOU YOU can take my pain away,
Only YOU

he's a heart breaker, breaker, breaker,
he gonna he gonna put you in pain and drive you insane
he's a heart breaker, breaker, breaker,
tacha chinguma chinguma chinguma

na na na na na n a na tu tu tu turuu
Yanomba umutima wanjeee
Yanomba umutima wanjeee
he gona put you in pain and drive you insane

Thursday, 18 July 2013

Naomba Lyrics , sung by Adawnage Band

Naomba Baba, minaomba, mikono nimeinua
Nishike Baba, unifiche eh, mikononi mwako
Nionyeshe Baba wema wako, unifanye chombo chako,
Ninaomba, naomba, Baba mie naomba


Sikudhani mimi, nimekupa weh huzuni kiasi hicho,
Dhambi nyingi, maombi hayatoki nisamehe Baba
Uchovu na uvivu umenijaza moyoni sina amani,
Naomba unipe raha, msamaha, naomba uwashe taa


Popote niendapo chochote nifanyacho sasa nifungue macho,
Nipate kuona na kuhisi, nipate upako wako


Naomba Baba, minaomba, mikono nimeinua
Nishike Baba, unifiche eh, mikononi mwako
Nionyeshe Baba wema wako, unifanye chombo chako,
Ninaomba, naomba, Baba mie naomba


Sikudhani mimi, nikiteleza ah, nakusulubu tena
Uchungu mingi machozi yakutoka weh, nisamehe Baba,
Nizibie ufa nisijenge ukuta Bwana, umetukuka
Naomba unipe raha,msamaha, naomba uwashe taa


Popote niendapo chochote nifanyacho sasa nifungue macho,
Nipate kuona na kuhisi, nipate upako wako


Naomba Baba, minaomba, mikono nimeinua
Nishike Baba, unifiche eh, mikononi mwako
Nionyeshe Baba wema wako, unifanye chombo chako,
Ninaomba, naomba, Baba mie naomba

Eeeee iii eeeh, Baba mie naomba



Wednesday, 17 July 2013

Nakungoja lyrics , Mercy D Lai

Ninapokuamini unanipa amani, ulinipenda toka zamani, ukanipa penzi tamu kama asali
Ndiyo maana ntakutunza kama asali, wewe ndiwe nangoja ,
Nasubiri siku nitakuona, ninangoja sana,
Siku minitakuona

Twakungoja, wewe ndiwe waweza wajua hatungoji mwingine
Hatungoji mwingine(Echo)
Siku moja, wewe utatubeba wajua hatujui mwingine
Hatujui mwingine (Echo)

Nionyeshe njia Baba, Kama nimepotea rejesha BABA
Rejesha Baba(Echo)
Nifunze kukutegemea nisiaibike
Niongoze hadi nifike, Ili nisije nikapotea,
Unionyeshe hadi nione
Ili nione( Echo)


Twakungoja, wewe ndiwe waweza wajua hatungoji mwingine
Hatungoji mwingine(Echo)
Siku moja, wewe utatubeba wajua hatujui mwingiune
Hatujui mwingine (Echo)

Sitachoka kungoja, sitachoka kungoja, sitachoka kungoja
Hadi tuwe pamoja aa aa
Sitachoka kungoja, sitachoka kungoja, sita choka kungoja
Mi na weh moja kwa moja


Twakungoja, wewe ndiwe waweza wajua hatungiji mwingine
Hatungoji mwingine(Echo)
Siku moja, weweutatubeba wajua hatujui mwingiune
Hatujui mwingine (Echo)



Just a way lyrics , sung by Kaberere and Mr. Vee

From the first day I met You, sijawahi lala njaa, umenishugulikia,
From the first day I met You, sijalala na kiu umekuwa maji ya uzima,
From the first day I met You, sijapigwa na baridi blanketi umenipa,
First day I met You umenipenda na mambo yangu mengi.

Aaaah ulinipenda kwanza kabla nikujue eeeh
Ulinipenda kwanza kabla nikupende eeeh,
Nilipokujua hapo nikatambua milele nitakuinua,
Pendo laki sure nami naamua,nitakupenda pia


It is just a way, a way to show how much I love YOU,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.

Adui weewe, umekuwa kizuizi maishani,
Adui wewe wataka nikose mimi taji ya uzima,
Adui weewe ulishindwa miaka iliyopita, aaah
Kalivari aliposema yamekwisha.

Elohi Elohi lama sabaritani
Mawe walitupa, mate kukutemea pia,
Mkuki ubavuni, maji yakamwagika
Damu ulivuja ili nipate uzima

It is just a way, a way to show how much I love YOU,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.
It is just a way, a way to show how much I love You,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.

It is a way a way for me to show how much I love You
Ni njia yakusema asante

It is just a way, a way to show how much I love You,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.
It is just a way, a way to show how much I love You,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.
It is just a way, a way to show how much I love YOU,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.
It is just a way, a way to show how much I love YOU,
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda.

I love You, I love You, I love You,
Ni njia yakusema.....










Jambo Kenya

Alot has been said on our local gospel music, from the lack of message in our songs, to the money motive behind the singers in the industry, to the controversy of using secular beats in gospel music.
On this blog we aim to shift the focus from the controversies and negativity to the message in the music. The message is in tyhe lyrics. Generally when we focus on one aspect of things, be it conflict or our trials we often make wrong conclusions, but when we get the full picture we are able to understand it well. Most people judge a song by just one line but here you will access the full song, and be able to get the whole story thus understand it better.
Also, we know that no one is perfect and surely, if God were to use perfect people, He would use no one. It is possible that though some singers have weaknesses that have been published in media causing people to dismiss their songs, through these blog you can focus on the message and shift attention from the singer to the message after all, God needs to increase as the singer decreases.
I am a proud Kenyan and local songs are among my favorite, whlile i have interacted with Kenyans who are so anti Kenyan gospel music claiming its "shallowness", here the lyrics will prove to you that there are plenty of Kenyan songs that are very very deep.
Your corrections to errors in lyrics are welcome and so are your additional information on where the music can be bought and albums too.
Yours truly
Carmilla Dhahabu